Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,888
- 4,664
Nipe muongozo Mkuu Selikavu nataka nije Ku conquer na hukuNimfikishie au??
Sawaa me nipo
Nipe muongozo Mkuu Selikavu nataka nije Ku conquer na hukuNimfikishie au??
Sawaa me nipo
Una kikosi?Good evening
Mmeshindaje
Poleni na uchovu wa majukumu
Nasubiri pakuche niconcetrate na mikono ya refa, kisha nimpe shuti qaliiii..watu weuweeeee😋🤗
Njoo😃Wakugusa nistue mechi mbili tu
BadooUna kikosi?
Oky naingia soon hapoNjoo😃
Ngoja niende mimi huyo sio mwema kabisa...Bado sijawa pro 😀
Unataka kuniua mkuu
Cc Selikavu
Sasa sielewi mpaka sshv username ni ipi.. ni ile niliyoandika mie Ms Beverlyn au wanayonipa wao? Nikiingia wanasema
Signed in as Navyparent 😀 hii me sijaiweka wallah
Watu mna mbinuu😀Mwambie kabisa kipa akijnyanyua mikono yote miwili apige katikati na asiponyanyua mikono apige pembeni
Pow nakuja utanipa inviteOky naingia soon hapo
Ameanza nadhan tutamtafutia cha kusogeza sikuUna kikosi?
Kesho nami Nita download nitaanza na wew beginner mwenzangu au vp?Badoo
Nipo zangu na daily penalty.. namsumbua yule kipa
Aah sawaa mkuu ngoja nikacheze na Lestone nalud...Nipe muongozo Mkuu Selikavu nataka nije Ku conquer na huku
NiliscreenshotKuna sehemu nilikuelekeza ukabaji... Itabid ulud ukapitie tena😃😃
Nikishadownload nitakuja kuchukua trick MkuuAmeanza nadhan tutamtafutia cha kusogeza siku
PoaPow nakuja utanipa invite
Nipo online utanikuta
I can’t wait.. tuanze kunyooshana 😀Hiyo ni welcome party mkuu, utamchukia huyo 😂
Sawaa mkuu karibu sanaNikishadownload nitakuja kuchukua trick Mkuu
MmmhOn my way kama Lionel Richie
Wewe furahia penzi hilo shem, we mwenyewe unaelewa navyokupambania
Ila huku usimtoe, kwaajili yako tutajitahidi ligi inayofata tusiwe wa mwisho![]()


shem atoke tu huko, aje hukuu. Lol