Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,957
- 12,420
Wewe furahia penzi hilo shem, we mwenyewe unaelewa navyokupambania 😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiaa shem kaka ako anani care na kuni handle siku hizi hadi naogopaa!! Nataka nimtoe hukoo.
Nifurahie ndoa yangu mie atii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huku usimtoe, kwaajili yako tutajitahidi ligi inayofata tusiwe wa mwisho 😂🙌