eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Una balaa hapo Razorblade
Anakosa kila siku penalty itabid umfundishe upigaji😅😅
huyu kipa yupo automated...

Kwa siku mbili anakua anaruka upande mmoja ambao ukipiga huko anadaka then anaenda upande mwingine au anabaki kati kati...


Kwahiyo inabid uwe unakumbuka jana aliluka wap unapiga hesabu vzr😃😃😃
😂😂 sasa siku zote 3 kaniendea upande mmoja..

Razorblade anakosa sababu anamuendea na viwembe kwenye username 😂😂😂kipa anamkomeshaa
 
Sasa training uliyoenda ni ngumu kdg nenda hii kwanza then ukiona umeweza utaenda ya pili

Anz na hii kwanza

Nenda kwenye Academy

Chagua training View attachment 3590392

Ukitoka hapo chagua Dream team


Ukitoa hapo chagua Free training siyo ya Commanding ambayo umeenda

Then after anza na Attacking practice hapo utakuwa uwanja mzima mwenyewe cheza na wachezaji wako jaribu kupigiana pass ukiona umeweza kuelewa namna ya kuzitumia button lud nyuma chagua practicing match ujaribu kucheza na Opponent uone kama utatoboa

View attachment 3590393View attachment 3590394
Kuna Harry Kane na Bukaya Saka wananinyoosha tu 😀😀😀
 
Una balaa hapo Razorblade
Anakosa kila siku penalty itabid umfundishe upigaji😅😅
huyu kipa yupo automated...

Kwa siku mbili anakua anaruka upande mmoja ambao ukipiga huko anadaka then anaenda upande mwingine au anabaki kati kati...


Kwahiyo inabid uwe unakumbuka jana aliluka wap unapiga hesabu vzr😃😃😃
Mwambie kabisa kipa akijnyanyua mikono yote miwili apige katikati na asiponyanyua mikono apige pembeni
 
Ukiweka setting hivi...

Ngoja nikuoneshe namna ambavyo zitatokea kwenye mechi
..

Mpangilio wa Button umegawanyika sehemu mbili kuna ambazo hutokea wakati umeshika mpira na kuna nyingine hutokea wakati team pinzani imeshika mpira


Wakati ukiwa na mpira button zako za uchezaji huwa ni hivi

View attachment 3589947

Kushoton Joystick kwa ajili ya kuchagua uelekeo wa mchezaji pamoja na pass na mashuti ukitaka yaelekee upande gani utumia hiyi...

Then kulia kuna dash hii inatumika kumfanya mchezaji akimbie

Then pass inatumika kwa ajili ya kupiga short passes ambazo jnafika mguuni kwa mchezaji alafu through inatuumika kupiga pass ndefu zile za kutanguliza mbele


Kwenye setting za ukabaji zipo hiviView attachment 3589951

Ukishapoteza mpira kwenye kugana tunategema Button mbili

Ambazo ni Match up na Dash and pressure


Ukikana kwa kutumia match up lazima utumie na direction yan wewe unachagua mchezaji aende wap kuzuia njia au pass kwahiyo lazima umdirect
Lakn ukitumi dash and pressure unashika tuu bila direction hiyo (joystick) mchezaji anafata mpira mwenyewe...


Hapo sasa ngoja nikuelekeze kwenda training uende kujaribu namna ya kucheza na hizo button
Depal

Saivi kwakua bado hujazoea game tumia button Dash and pressure kukaba hii yenyewe unaishika tuu hakuna haja ya kutumia direction automatic mchezaji atamfata mtu mwenye mpira mwenyewe.... Akishakaba ndo unaangalia utatumia hii joystick kuchagua kwa kwenda

Ngoja nitamwomba Kandambili1 ascreen record namna ya kuzitumia vzr then. Akuwekee hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom