Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,214
- 206,589
Username naionea kwa wapiUshakuwa pro tayari 😂
Naomba username yako ukanifundishe kupiga penalty 😂🙌
Maana ni kama wamenichanganyia mafile
Afu usiende kwa kipa na viwembe 😀😀
Username naionea kwa wapiUshakuwa pro tayari 😂
Naomba username yako ukanifundishe kupiga penalty 😂🙌
Naona WalrD amekuteka😃😃vita yenu haijaisha badoOky naingia soon hapo
😃😃Aah ile ya Ms Beverly kama sijakosea ndo hiyoUsername naionea kwa wapi
Maana ni kama wamenichanganyia mafile
Afu usiende kwa kipa na viwembe 😀😀
Kama wapi?Hiyo Navy ni username yako google games.
Nitoke wap tena 😃😃shem atoke tu huko, aje hukuu. Lol
Nikuongeze lingine la kukimbia weka na Relic Runner😃😃Kama wapi?
Me nacheza temple run, subway suffer, candy crush na vita mahjong. Na hii Konami 😀
Now now nalishusha 😀Nikuongeze lingine la kukimbia weka na Relic Runner😃😃
Nimelicheza way back ngoja na mimi nilishushe tuanze kushindana hizo level 😃😃Now now nalishusha 😀
Aise leo nimeacha ndal kwa WalrD😃😀😀Naona WalrD amekuteka😃😃vita yenu haijaisha bado
Mkuu naona net ni chenga.😂😂😂Huna ubinadamu wewe🙌🏾
Hiki kichwa 😂😂😂Good evening
Mmeshindaje
Poleni na uchovu wa majukumu
Nasubiri pakuche niconcetrate na mikono ya kipa, kisha nimpe shuti qaliiii..watu weuweeeee😋🤗
Aise mabeki zangu leo sijuh walimezeshwa magimbi yan wote wanaenda mbele babekiMkuu naona net ni chenga.
😃😃Sio mwema kabisa huyo hukuona mtu amepigwa naneAise leo nimeacha ndal kwa WalrD😃😀😀
Mkuu huwezi kunizuia huyo ndiyo mimi siku ile ilikuwa karibusha mgeni 😂😂😂Aise mabeki zangu leo sijuh walimezeshwa magimbi yan wote wanaenda mbele babeki