Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 890
- 2,329
Ndiyo mkuuUlianza na match up moja kwa moja
Ndiyo mkuuUlianza na match up moja kwa moja
Me natumia zote mbili ila napenda nitumie dash mpira ukiwa kwanzia katikat mpk kwa mpinzan wang ila akinifiki tu karib na kwang match up inahusika hapoNdiyo mkuu
Hiyo ni welcome party mkuu, utamchukia huyo 😂😂 Nishakaribia.. day 3 leo sijakosa
Naipigia kulia juu juu, kenyewe daily kanakimbilia kushoto
Ushakuwa pro tayari 😂😂😂 sasa siku zote 3 kaniendea upande mmoja..
Razorblade anakosa sababu anamuendea na viwembe kwenye username 😂😂😂kipa anamkomeshaa
Nitajaribu 😂Na wewe mkere achanganyikiwe
Hiyo Navy ni username yako google games.Ms. Beverlyn
Ila nikiingia naona signed in as Navy nini sijui
Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? 😂😂😂Aah kumbe ushaajua kumsoma😃😃
Nimepaliwa 😂😂😂Mwambie kabisa kipa akijnyanyua mikono yote miwili apige katikati na asiponyanyua mikono apige pembeni
Wahenga hawaamini 😂We mtu kasema unamkimbia inabidi umuoneshe kuwa ulikuwa unamhurumia.
Kuna kitu umetumia? 😂🙌Mkuu nielekeze kukabia dash
Gillette 😂😂Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? 😂😂😂
Tulia mkuuNimepaliwa 😂😂😂
We npo timamuKuna kitu umetumia? 😂🙌
Nimelia sana 😂🙌Gillette 😂😂
Una balaaNdiyo mkuu
Tunafanana 😃😃nijitese na match up kwenye final third ya opponent siweziMe natumia zote mbili ila napenda nitumie dash mpira ukiwa kwanzia katikat mpk kwa mpinzan wang ila akinifiki tu karib na kwang match up inahusika hapo
😃😃Ushaanza kutisha wagen🤣Hiyo ni welcome party mkuu, utamchukia huyo 😂
Nimelia mno😃😃Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? 😂😂😂
Ndiyo maana mtu anaedribble sana nashindwa kukaba , hata kwako nmeona hiyoUna balaa
Mwenyew mzee 😀😀Tunafanana 😃😃nijitese na match up kwenye final third ya opponent siwezi