Kwamba na dribble au nashindwa kukaba??Ndiyo maana mtu anaedribble sana nashindwa kukaba , hata kwako nmeona hiyo
Ni tahadhari tu ili akikutana na hicho kisanga avumilie 😂😃😃Ushaanza kutisha wagen🤣
Ndo natoka hospital hapa machozi yaligoma 😂Nimelia mno😃😃
Unashindwa kukabaKwamba na dribble au nashindwa kukaba??
Mmeanza😃😃Hili darasa linaloendelea huku, inanibidi nitafute notebook
Mi mwema mkuu Kandambili1 huyu ndiyo sio mwema kabisa yani ukimfunga ni kosa la jinai.Mwambie kabisa wewe sio mwema aje na akili timamu
Hilo ni janga kwangu timing yangu nakosea mno.... Nikishka Dash ndo kabisa siweziUnashindwa kukaba
Edo kaja😃Mi mwema mkuu Kandambili1 huyu ndiyo sio mwema kabisa yani ukimfunga ni kosa la jinai.
Nipe user name nikudungunyue😀😀Hodi hodiiii 😀😀😀