eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kwel kaka me mwenyewe nipo hoi


Kuna friend match nimecheza za dakika 15 per game tatu asee zinachosha...


Sema leo mtandao naona umetulia nimeliona soka lako😃😃

Ni halali uwe na badge ya division one🙌
Kijana kwa possession upo vizuri nimechukua hint kadhaa kesho ntazifanyia mazoezi.

Uliweka offside trap?😃
 
Kijana kwa possession upo vizuri nimechukua hint kadhaa kesho ntazifanyia mazoezi.

Uliweka offside trap?😃
Hapana kaka situmiag nasikia inaweza kukost hiyo...

Wachezaji wako walikuwa na speed tuu kuwazid mabek wangu kabla hujatoa pass...

Sasa mkuu kwel lile butua langu kuna hints gan pale😃😃😃

Me ndo nimeondoka na madini sema sijayafaid vizuri nilikuwa exhausted na friend match..

kesho tena mida hii hii kukiwa hakuna fujo...🙏
 
Umekutana nini mkuu😃😃😃
Watu wanateleza kama nyoka 😃 au ndio mambo ya smart assist.

Mniombee wazee mechi 2 zimebaki
Screenshot_20250421_125244_eFootball.jpg
 
Back
Top Bottom