Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Na ndo kilichomponza, huenda aliamini atapindua meza.Najiulia kwa nini opponent wangu hakukimbiq baada ya goli la 4 nadhani ni ego
Sehemu ambayo siwezi kukimbia ni kwenye friend match tu ambapo nakuwa naangalia makosa yangu yanakuwa wapi ila huko kwenye dvn au events nikishaona napoteza kwa idadi kubwa ya magoli naachana na hiyo mechi.
Yanini kupoteza muda wakati tayari nishapoteza na kuna mechi zingine za kucheza.