Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
NdioNi box to box?
NdioNi box to box?
Box to Box huyo kama ndo solo Dm mbona me nafwa mapema tuuKwenye kikosi chako usi mkose mkata umeme Rice
Ndio Box to Box sijajua huyo wa live booster labda ni OrchestorNi box to box?
Huyo Rodri ningempata aseee🥹 natumia Rodri wa standard ananipigia kazi hivyo hvyo...Kwenye kikosi chako usi mkose mkata umeme Rice
Division pa moto sana rudi mkuu😅siku hizi division nachezea for fun maana sipendi kucheza na AI, mambo ya una kaza unafika div 3 afu unarudishwa 6
😅😅rodri naona kama yuko slow ana ingiaga subHuyo Rodri ningempata aseee🥹 natumia Rodri wa standard ananipigia kazi hivyo hvyo...
Ngoja na mimi nimjaribu rodri wangu tchouameni naona hajui kupiga passHuyo Rodri ningempata aseee🥹 natumia Rodri wa standard ananipigia kazi hivyo hvyo...
Ana mwendo wa kobe 😃 speed 72 acceleration 67😃😅😅rodri naona kama yuko slow ana ingiaga sub
Me nataka Anchorman pale kati... Au destroyer nikimpata mmoj wapo nimememaliza kazi...😅😅rodri naona kama yuko slow ana ingiaga sub
Sasa si una beckham Mkuu😃😃alafu kwa formation yako mbona Touchmen anaweza mkabia Beckham akampa pas Beckham asambaze upendo😃😃😃Ngoja na mimi nimjaribu rodri wangu tchouameni naona hajui kupiga pass
😅😅Me nataka Anchorman pale kati... Au destroyer nikimpata mmoj wapo nimememaliza kazi...
Orchestor ni wa kucheza Double Pivot sio peke ake navuja mno😃😃😃
Ndo maana bora aanze Rodri na Mwendo wake wa taratibu...
Orchestor labda Kimmich hata pep Guardiola ana Defensive awareness ndogo kwa kimmich
Mechi yangu na NEGAN ni ya kisasi, natumai mechi itakuwa nzuri.Matokeo sio kila kitu jana😃😃huo mpira nilichezewa
Nisingefung hizo goli wakati net yake imecheza ilikuwa nimelala yoo🙌🙌🙌
Mkutane siku net yake imetulia... Utaleta mrejesho
Hata mimi nashanga eti hadi kwenye My League napo wanagonga pasi balaa 😂.Wazee mbona ghafla kila mtu anajua kudribble kama Messi online? 😃
Mkuu hongera sana, idadi kubwa ya magoli kuwahi kushinda huko dvn ni goli 4 kwa 0 ila jamaa alikimbia kabla kipindi cha kwanza hakijaisha 😂.Boom 💥 division 3 nimeingia kibabe divison 3 nimempelekea mtu pumzi ya moto😃
ILIVYOKUA HABARI PICHA
Zingatia dakika za magoli😃
View attachment 3310970View attachment 3310971View attachment 3310972View attachment 3310973
View attachment 3310974View attachment 3310975
Dakika ya 60 nikampiga goli la 7. Baada ya goli la saba akaona isiwe kesi 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️
View attachment 3310976
Matokeo
View attachment 3310987
View attachment 3310977
View attachment 3310978
team yake
View attachment 3310979
Nipumzike sasa divison ntaendelea tarehe 1
View attachment 3310980
Sijawahi shinda goli 7 hii ni rekodi kwanguMkuu hongera sana, idadi kubwa ya magoli kuwahi kushinda huko dvn ni goli 4 kwa 0 ila jamaa alikimbia kabla kipindi cha kwanza hakijaisha 😂.
Yule jamaa aliyekimbia ameniharibia kabisa nilikuwa naenda kuweka rekodi ambayo huenda nisingeweza kuivunja 😂.Sijawahi shinda goli 7 hii ni rekodi kwangu
Najiuliza kwa nini opponent wangu hakukimbia baada ya goli la 4 nadhani ni egoYule jamaa aliyekimbia ameniharibia kabisa nilikuwa naenda kuweka rekodi ambayo huenda nisingeweza kuivunja 😂.
Wakati naanza kucheza hili game nilikuwa napanga kikosi kwa mapenzi na siyo kimbinu, shukrani ziende kwa NEGAN.Nilicho learn kwenye ili jukwaa ni kuzingatia playing style na sifa za kila mchezaji ,zamani nilkua naangalia form tu na position me naweka
Ila bado sijapata kipa wa kueleweka ter stegen na courtous hapa kati wame nilisha mchanga sana , Wana fungwa magoal ya njee ya box mengi