Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,969
- 12,435
Nimecheza kama masaa mawili yaliyopita, simu ipumue kwanza š.Cheza tu saiv kaka
Nimecheza kama masaa mawili yaliyopita, simu ipumue kwanza š.Cheza tu saiv kaka
Simu itapumua nikimuuizia mtu mwingine kwa sasa acha ipige kaziNimecheza kama masaa mawili yaliyopita, simu ipumue kwanza š.
Sawa sawaaaBaadae nikitulia nawacheki.
Konami wanakula sana pesa za watu kupitia hili game aisee.Nimecheza mechi kumi za division 4 nimeishia point 14 tenaš„¹
Sema ukitaka kupanda wanakuletea vikosi....
Ona huyu nimetoka nae moja moja ila clear imefanya kazi mnoView attachment 3310211
Division sasa hivi imejaa maguru subiri mpaka tarehe 1 watakua wamefika Division 1 ndi0 uanze kuchezašNimecheza mechi kumi za division 4 nimeishia point 14 tenaš„¹
Sema ukitaka kupanda wanakuletea vikosi....
Ona huyu nimetoka nae moja moja ila clear imefanya kazi mnoView attachment 3310211
Hicho kikosi sio pow kaka Huyo Rodri nilikuwa namtaka nikachoma mia ikagomaššnikaachaKonami wanakula sana pesa za watu kupitia hili game aisee.
Ngoja nicheze tena wakinishikiria naenda kwenye Ai šššDivision sasa hivi imejaa maguru subiri mpaka tarehe 1 watakua wamefika Division 1 ndi0 uanze kuchezaš
Division sasa hivi imejaa maguru subiri mpaka tarehe 1 watakua wamefika Division 1 ndi0 uanze kuchezaš
Nitacheza week ijayo imetoshaššDivision sasa hivi imejaa maguru subiri mpaka tarehe 1 watakua wamefika Division 1 ndi0 uanze kuchezaš
Oya kucheza divison wiki 2 za mwanzo ni suicide mission šNitacheza week ijayo imetoshašš
Ona na huyu View attachment 3310291
Huyu aliyekuwa anapiga alikosea namba hana hata madharašš
View attachment 3310293View attachment 3310292
Nimepumzikia dvn 4 kwanza, nimeshinda 2 nimefungwa 2 na sare 1, nahisi nitaendelea kucheza baada ya tarehe 27 š.Oya kucheza divison wiki 2 za mwanzo ni suicide mission š
Nimekutumia invite ghafla ukatokaAliye online tupashe wadau
TwendeNimekutumia invite ghafla ukatoka