eFootball Special Thread

Huyu jamaa amenikimbia hata kipindi cha kwanza hakijaisha, uzuri hata ukikimbia idadi ya goli inabaki hiyohiyo, angerudi kipindi cha pili huyu angefia uwanjani ๐Ÿ˜‚.

Kanivusha kwenda dvn 4, tangu nimeanza kucheza leo nimekutana na wenye badge za dvn 1 na 2 na huyu wa mwisho ana badge ya dvn 3.

Win: 4
Loss: 1(Simu ilizingua)
Draw: 1
 
Leo bhana konami wamejua kuniweza Game nafunga goli la pili... Net inaanza kuload then wananiambia match is deemed un finished

Yan nimebaki div 4 twoo times today๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ningeshinda hiyo match uwenda ningepanda

Nikacheze PUBG tuu sasa
 
Mkuu mimi waliniletea hivyo halafu wakanipa loss nikashangaa ๐Ÿ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ