Kuna mtu alikuwa field labda 😂.Wanazingua konami😂
Mkuu unazingua yaani hicho kikosi hakikui, kikosi changu kilichopotea nilitumia muda mchache kufikisha 3110+ ila hiki sasahivi nahaha tu kufikisha hata hiyo 3100 😂.View attachment 3308513kosi halikui wandugu. Mna spin aje kuwapata legend😎🤏🏿
Hapa kwenye kusave coins nimekaa pale 😂.Acha tu. Nataka nianze kusave nifikishe coins 10000+ nimpate Totti au Cruyff mwakani sijui nitaweza kusave😃
Chungu kutafuna, ngumu kumeza 😂.
Kwel nipo honeymoon 😂😂😂😂Eti mia ngapi? Hiyo inaitwa honeymoon mara ya kwanza umekata utepe sasa subiri bei za juu kwenye match pass😃.View attachment 3308551
Duuh sikuwaza kuangalia hizo stats...Hata anchorman naona watu wengi wanamuwekea deep line kwenye kuzia inakua kama back 5. Wewe test combo yako kama atakubali basi muweke iapo ana defensive awareness ndogo muweke na box to box kwenye double pivot
Kwa mtazamo wangu though I stand to be correctedToka maitainance ifanyike napigwa vibaya mno. Yaani hata sijui shida nini?
Mtamtaka Guardiola wangu wa afu mbili na booster yake ya Passing..Gameplay imebadilika sasa hivi passing game ndio meta.
Kwenye spanish club kama huna wachezaji wengi wa Spain chukua Atletico tuu na kwa mfumo wako inafaa kabisa madrid aseee nimeichukua mno ila hawana wachezaji wa maana
Ivi unaweza ukawa unachange account fresh kabisa??Niende kucheza kwa account nyingine nayo ikue.
Me nishafika 3100😂😂😂Mkuu unazingua yaani hicho kikosi hakikui, kikosi changu kilichopotea nilitumia muda mchache kufikisha 3110+ ila hiki sasahivi nahaha tu kufikisha hata hiyo 3100 😂.
Mtoe havertz hapo sio DM cheza double pivot ya Ruben Nevez na Rice au Ruben Neves na Zaire Emery. Hapo kati papo wazi watu wanajipitia tu.View attachment 3308513kosi halikui wandugu. Mna spin aje kuwapata legend😎🤏🏿
Guardiola mtu sana muwekee blocker uone maajabu yakeMtamtaka Guardiola wangu wa afu mbili na booster yake ya Passing..
Nataka nimtafutie zile Random booster nimmpe Shutdown afike 102
Skills au booster??Guardiola mtu sana muwekee blocker uone maajabu yake
Skill maana hana blockerSkills au booster??
Me mwenyewe nimecheza mbili hapo nikachoka😂😂sema hapa my league itabid isubili kwanza...Kama division 6 tu ni 19 points je division 4?😃
View attachment 3308704