Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Kwa mchana kipengele mkuu.Ntakucheki kesho mchana
Kwa mchana kipengele mkuu.Ntakucheki kesho mchana
Namtafutia AMF akiipata Messi ataanzia nje🤣🤣maana sio kwa hizo through zakeHuyo beckam anabalaa lake nae.
Jamaa wanatufanya tucheze kwa lazima😂😂😂jana tuu nimecheza mechi 20 div 4Mkuu mimi waliniletea hivyo halafu wakanipa loss nikashangaa 😂.
Hii itabid unielekeze vizuri😃Unakuwa na app mbili mkuu. Download moch cloner appView attachment 3309877
Huyu ndo mwamba hana kabisa wale LMF NA RMF🤣🤣Na nakufunga daa😂View attachment 3309879hii nilipigwa 3 kwa 1😂🚮
Jana baada ya vipigo nimelud huku 4222🤣Nimeupokea ushauri wenu wakuu.View attachment 3309882nirekebishe nini kingine, pia tumeni code.
Sub zako hauna namba sita hata mmoja what if ukaingia division alafu Rice au Neves akawa terrible??Nimeupokea ushauri wenu wakuu.View attachment 3309882nirekebishe nini kingine, pia tumeni code.
Watu wanacheza aseeEbu niongeze
nilichoka sana baada ya kuoma hii formation
Nimeshadownload nimeweka Region Japa
Huyo fundi sana, huku kwangu anawanyoosha na sijamfunga booster bado 😂.Namtafutia AMF akiipata Messi ataanzia nje🤣🤣maana sio kwa hizo through zake
Acha uoga, kaza vidole 😂.Jana baada ya vipigo nimelud huku 4222🤣
Pamoja mkuuBasi night.