Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Sawaa mkuuSkill maana hana blocker
Sawaa mkuuSkill maana hana blocker
Tamba tu mkuu 😂.Me nishafika 3100😂😂😂
Hapo kwenye AI kichomi sana aisee 😂.Kama division 6 tu ni 19 points je division 4?😃
View attachment 3308704
Legend AI ni kisangaHapo kwenye AI kichomi sana aisee 😂.
Sasa point tatu natamba nn si ulikuwa na 3097😂😂Tamba tu mkuu 😂.
Nimewatoa baadhi ya wachezaji waliokuwa first XI na sub nimewaweka kwenye reserve.Sasa point tatu natamba nn si ulikuwa na 3097😂😂
Huo mzuri kabisa, angalia hivi viumbe hapa 😂.Watu wamevurugwa sana chek formation hiyo 😂😂😂
View attachment 3308795
Zamu yangu leoZamu ya nani leo nme badili mfumo ⚽️⚽️
Watu wana mifumo aseee
Mbappe akiwemoNimewatoa baadhi ya wachezaji waliokuwa first XI na sub nimewaweka kwenye reserve.
Dvn huko mkuu hawana cha kupoteza.Watu wana mifumo aseee
Kabisa na yeye ndo amepunguza hizo collective strenghth.Mbappe akiwemo
Amjaja room imekua closedCode 05582519
Friendly match
Create zingine nije, zingatie settings mkuu.Amjaja room imekua closed
Mkuu nilitoka kdg ulete tena code nipo hapaCode 05582519
Friendly match
Nilikuad jana kama benefica username myunani nitumie invite naingia onlineAmjaja room imekua closed