Pole sana mkuu 😂.Tangu update beki zinakatika sana through pass moja unafungwa ni muda nirudi kurumia back 5 sasa.
Ndo nasikilizia hapa**** fee player wa 2
Si ana 100 kwangu nimemfunga booster ya technique kafika 101Huyo fundi sana, huku kwangu anawanyoosha na sijamfunga booster bado 😂.
Kaka nahitaji Dm mwenye Defensive awareness kubwa sana,...Acha uoga, kaza vidole 😂.
Tunayaheshimu mawazo yako mkuu...Dls ndo 💥💥
Me niliweka Deepline ila kuna namna watu wanafanya touches nyingi kwenye final third yangu sijapenda hilo swala nimeona nilud kwenye 4222 kwanza nijaribuTangu update beki zinakatika sana through pass moja unafungwa ni muda nirudi kurumia back 5 sasa.
Leo ajipange me mwenyewe sijawai gusa naeEdo kissy saa 4 usiku tukiwashe
Nipe codeLeo ajipange me mwenyewe sijawai gusa nae
Akaze vidole ana mechi mbili zako, tatu na Razorblade
Tatu zangu
Upp twendeNipe code
NIlkuta upo offline nikasepqOyy mkuu naona upi kwenye league
Nikiwa na kikosi cha hivi aje yoyoteKuna watu ukikutana nao vikosi vyao mpaka unaogopa 😂.
👇👇👇
View attachment 3310116
Kilichomkuta 👇
View attachment 3310117
Hapo katumia zaidi ya tsh 1M😃Kuna watu ukikutana nao vikosi vyao mpaka unaogopa 😂.
👇👇👇
View attachment 3310116
Kilichomkuta 👇
View attachment 3310117
Kwamba bila hela hukipati hichoHapo katumia zaidi ya tsh 1M😃