eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nilikuwa najisemea huyu nimemwambia mood imekata yeye amefanya kuwa faida kwake, mechi ya kwanza ilivyoisha nikasema huyu hatoki hapa ataongea sana ngoja nimalizane nae kirafiki tu, ila umenichosha leo 😂.
Afu hiyo message ya kuwa haupo mood hata sikuiona nimekuja kuiona muda game zimeisha
 
Me huwa nashangalia kabisa live napiga kelele
Muhimu hiyo mkuu hasa ukikutana na mpinzani mgumu, nakumbuka nilikuwa nacheza PvP tumeenda mpaka extra halafu mie penalty bado sijakuwa mjuzi nazo nikawa nahofia, dakika za jioni kabisa naweka chuma wavuni nilijikuta napiga kelele mpaka waliyokuwa karibu wakashangaa na wameshanizoea sasahivi na muda mwingine wanauliza (leo huna mechi?) 😂.
 
Muhimu hiyo mkuu hasa ukikutana na mpinzani mgumu, nakumbuka nilikuwa nacheza PvP tumeenda mpaka extra halafu mie penalty bado sijakuwa mjuzi nazo nikawa nahofia, dakika za jioni kabisa naweka chuma wavuni nilijikuta napiga kelele mpaka waliyokuwa karibu wakashangaa na wameshanizoea sasahivi 😂.
Penati zisipendi...😃😃
 
Back
Top Bottom