Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,028
- 12,559
Nikipiga buti injury itawaka yenyewe automatic šPlus injuries onš¤£š¤£
Nikipiga buti injury itawaka yenyewe automatic šPlus injuries onš¤£š¤£
Duh ni balaaHapo mpka uformat simu
Nimezipata hiyo na kwangu position nimepata second striker ...naona yupo vizuri
Yake kabisa ni striker instinct ila agility ni unyama sanaRecommended booster ya hazard niipi
Achana na mimišššHaridhike ili aumwe? š
Sema hata mimi niliondoka room ili nipumzike tu nilitaka nikuvunjie wachezaji wote, ningepiga mabuti hadi injury ingewaka automatic ššš
Theconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuuš¤£š¤£š¤£Sikutakaš¤£š¤£š¤£niliona kabisa naanza kukumud ukanitolea batgoal game inayofata nashanga cross zimekuwa nyingi kumbe kuna Striker refu kuliko goliš¤£š¤£š¤£
Daah hii update itolewe yan wewe leo wa kunizidi interception mkuušššsijui niliingia uwanjani kufanyaje sasaššš
View attachment 3446746
Ukavunja nusu kikosiš¤£š¤£Nilienda training kwa Gil, nafanyia kazi tackling ššš
Ngoja ile couple ikusikie me sipoNi utapeli š
Ivi kila round lazima mkutaneššMie najiandaa kucheza kanyaga twende na Devil š
Hamna namna nyingineDuh ni balaa
Matchup ipo vizuri hamjui kuitumia tu š na kila mtu atafute ukabaji wakeKaka tunateseka mnoššš
Haikubali kurudi nyuma hata u reset simu hata hiyo mi ilinishinda kutumia ..sema assaivi naitumia hivo hivo kibishi tu. Kuna muda game linalag kishenz ila mpaka nishaizoea nakaba na kucheza hivo hivo mpaka linatulia.Ndio huyo huyo mchawi na ku reverse nimeshindwa
Naona hii update wewe haikusumbui kama wengine twenzao room badae š
Ungekuja na plan kama ya Razorblade mabuti tu šSikutakaš¤£š¤£š¤£niliona kabisa naanza kukumud ukanitolea batgoal game inayofata nashanga cross zimekuwa nyingi kumbe kuna Striker refu kuliko goliš¤£š¤£š¤£
Daah hii update itolewe yan wewe leo wa kunizidi interception mkuušššsijui niliingia uwanjani kufanyaje sasaššš
View attachment 3446746
ššTheconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuuš¤£š¤£š¤£
Dah sikujua ngoja na mimi nikazeHaikubali kurudi nyuma hata u reset simu hata hiyo mi ilinishinda kutumia ..sema assaivi naitumia hivo hivo kibishi tu. Kuna muda game linalag kishenz ila mpaka nishaizoea nakaba na kucheza hivo hivo mpaka linatulia.
Untk anifunge 5Theconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuuš¤£š¤£š¤£
Jamaa anacheza nafasi zaidi ya 3 aisee ni card nzuri sana.Nimezipata hiyo na kwangu position nimepata second striker ...naona yupo vizuri
Yani nikiweza kupiga tackling vizuri itakuwa ni red card tu uwanjani šUkavunja nusu kikosiš¤£š¤£