Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Mwezako kashakula umeme hukuEmbu maliza niboost simu twende moja nimuone huyo mbappe 🤣🤣🤣
Mwezako kashakula umeme hukuEmbu maliza niboost simu twende moja nimuone huyo mbappe 🤣🤣🤣
We twende nitacheza hata simu ikiwa chaji 🤣🤣Mwezako kashakula umeme huku
Sikutaki 😅We twende nitacheza hata simu ikiwa chaji 🤣🤣
Hata nikiweka back 5 nitafungwa tu, akili inawaza match up 😂😂😂Ludi back 5 mzee utanyanyasika🤣🤣🤣
GG ni utapeli kama yalivyo mapenzi 😂😂😂Makasiriko ya nini sasa hutaki GG🤣🤣🤣
Vipi nimefanikiwa au niendelee na training? 😂Razorblade huo ukabaji wake mpya amekuja kuujabu kwangu 😅 ngoja nione kama ataeza kumzuia Mbappe
Maisha ya NEGAN yapo hatarini 😂😂😂Tunamalizia Round ya mwisho tuingie mtoano..
Msimamo kama ulivyoView attachment 3446667
Fixture ya kesho
View attachment 3446670
NEGAN Mill broh Razorblade Mr Devil Edo kissy Alexander Lukashenko Warld Kandambili1
Sasahivi natrain mabuti tu 😂Razorblade hiyo mbinu sio 😅
Endelea trainingVipi nimefanikiwa au niendelee na training? 😂
Tatizo umeme.Endelea training
Sasa ulikuwa unanikimbia nn wakati unajua match up haifanyi kazi🤣🤣🤣Sikutaki 😅
Mpaka ufie Room🤣🤣Wana JF leo mnanitakia nini 😅
Kuna mbunu mpya nini🤣🤣Razorblade hiyo mbinu sio 😅
Kaka tunateseka mno😃😃😃Hata nikiweka back 5 nitafungwa tu, akili inawaza match up 😂😂😂