Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 1,082
- 3,011
Mtajua wenyewe mi nakaba kama kawaida tu 😅Umeona ukabaji wake😃😃kuna namna hashiki match up anakaba nafasi anakuja kushika pale ukipiga pasi
Konami wenyewe kwenye zile tips wamesema usimfate ball holder nenda pasi inakoenda😃😃😃