😹😹safi mtu akiingia kwenye mfumo una bonda haswaa
😹😹amna namna😃😃Una roho mbaya sana kaka🤣🤣
TwenzaoNipo
😹😹match ya tusio jua kukaba Razorblade
Kesho muda wowoteSaa ngapi tutakipiga
Nalala sasa, maombi yaongezeke, defense is 🚮 😂😂😂
Unauliza tena watu wapo serious mzee🤣🤣Hii ni nini 🤣🤣🤣🤣💔
Good game man yule beki wa kushoto hana nguvu kabisa😅Nalala sasa, maombi yaongezeke, defense is 🚮 😂😂😂
Subiri matokeo yaje uone shughuli 😂😹😹match ya tusio jua kukaba Razorblade
Huruma sio malezi🤣🤣Sio kwa kipigo hiko mkuu... hongera sana sana...naona ulitaka ongeza la 5 hapo mwishoni
Hii inaitwa ukikaba unafungwa na usipokaba utafungwa tu 😂