Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Hatma imeamua iwe hivyo 😂Ivi kila round lazima mkutane😃😃
Hatma imeamua iwe hivyo 😂Ivi kila round lazima mkutane😃😃
Hapana usitupange, match up haifanyi kazi 😂Matchup ipo vizuri hamjui kuitumia tu 😅 na kila mtu atafute ukabaji wake
Acha basi masta 😂😂Sawa mkuu ebu nitrain😂😂
😃😃😃Twende room basi kaka🤣🤣Matchup ipo vizuri hamjui kuitumia tu 😅 na kila mtu atafute ukabaji wake
Hapa me ni team Mill Bro 100 percent huwezi ninyanyasa vile jana🤣🤣🤣alafu nikushabikie😃😃😃Naona hii update wewe haikusumbui kama wengine twenzao room badae 😄
Uzuri wa hii update hata back 5 inapitika tu 😅Hapa me ni team Mill Bro 100 percent huwezi ninyanyasa vile jana🤣🤣🤣alafu nikushabikie😃😃😃
Back 5 For life😃😃
Aah tackling bado haijakaa akilini wakati kwenye Pad Pes ndo option yangu ya kwanza🤣🤣🤣Ungekuja na plan kama ya Razorblade mabuti tu 😅
Uzuri wa hii update hata back 5 inapitika tuHapa me ni team Mill Bro 100 percent huwezi ninyanyasa vile jana🤣🤣🤣alafu nikushabikie😃😃😃
Back 5 For life😃😃
Nikafanye nini? 😅😃😃😃Twende room basi kaka🤣🤣
Nataka nione inapitika wap niweke mtu🤣🤣🤣Uzuri wa hii update hata back 5 inapitika tu 😅
Ukanifunge na back five yangu we hutaki kwan 🤣🤣Uzuri wa hii update hata back 5 inapitika tu
Nikafanye nini? 😅
Nishakufunga usiku 😅Ukanifunge na back five yangu we hutaki kwan 🤣🤣
Nitahakikisha mnacheza kama mill Bro akishindwa kukupa changamoto🤣🤣🤣😃🙌
😅 haina nomaNitahakikisha mnacheza kama mill Bro akishindwa kukupa changamoto🤣🤣🤣
Ukifungwa na wewe nitajua update wamemletea Gilberto 🤣🤣🤣Untk anifunge 5
Sasa ukiweza kupiga vizuri🤣🤣🤣ndo upate Red card au me ndo sijaelewa😃😃😃Yani nikiweza kupiga tackling vizuri itakuwa ni red card tu uwanjani 😂
Komaen tuu😃😃me siku hizi sio derby yako amekuwa mister Devil derby yangu siku hizi Warld na Kandambili ndo level zangu🤣🤣🤣Hatma imeamua iwe hivyo 😂
Sasa ukiweza kupiga vizuri🤣🤣🤣ndo upate Red card au me ndo sijaelewa😃😃😃
Umeona ukabaji wake😃😃kuna namna hashiki match up anakaba nafasi anakuja kushika pale ukipiga pasiHapana usitupange, match up haifanyi kazi 😂
Berlado beki wetu kisiki😃😃View attachment 3446919
Beki wake huyu jana bada ya kujaribu kumzuia Mbappe.