eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Selikavu ridhika 😅
Sikutaka🤣🤣🤣niliona kabisa naanza kukumud ukanitolea batgoal game inayofata nashanga cross zimekuwa nyingi kumbe kuna Striker refu kuliko goli🤣🤣🤣


Daah hii update itolewe yan wewe leo wa kunizidi interception mkuu😃😃😃sijui niliingia uwanjani kufanyaje sasa😃😃😃
Screenshot_20250820-022751.png
 
Back
Top Bottom