Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
🙌Twende moja
🙌Twende moja
Nipo mkuu nitumie inviteBado upo
Anatumia ToshmillNipo mkuu nitumie invite
Fixture ya keshoAnatumia Toshmill
Naleta kakaFixture ya kesho
😃😃Una roho mbaya sana kaka🤣🤣😹 ukipata fursa ya kubonda una bonda kweli, amna kusubiri mtu dadeki
Nimemtumia request hapo akubali chap tuzame.Anatumia Toshmill
Fixture ya kesho
Hii ni nini 🤣🤣🤣🤣💔
Umeweka mpaka lugha za watu ili ujaribu Match-Up sio 😅
Sio kwa kipigo hiko mkuu... hongera sana sana...naona ulitaka ongeza la 5 hapo mwishoni
One UI 7.0?Sio kama nakuachia niliupdate samsung yangu kwenda latest version nimegundua ndio sababu ya kusumbukw kukaba kioo changu kinazingua napata shida sana kudefend kaka
hahahah aina ya kikosi changu inafanya nicheze hivyo mkuu 🤣🤣🤣. ...unaupiga mwingi sana pia pasi unacheza nyingi sana tu.Good game kijana una mpira mzuri 😂 pasi hadi golini