Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Halafu haya maswala ya GG si tumeyakataza 😂Good game man yule beki wa kushoto hana nguvu kabisa😅
GG ya nini na wakati unapita tu shwaaah 😂😂😂
Halafu haya maswala ya GG si tumeyakataza 😂Good game man yule beki wa kushoto hana nguvu kabisa😅
Ludi back 5 mzee utanyanyasika🤣🤣🤣Nalala sasa, maombi yaongezeke, defense is 🚮 😂😂😂
Hii ni mara ya kwanza kukuona selikavu ndani ya back 5Ludi back 5 mzee utanyanyasika🤣🤣🤣
Tunamwambia mtu kiroho safi tuu tafuta tutorial za kumkaba Victor osimenh anakuambia Madrid anacheza🤣🤣🤣ona sasa
Kama match up is not matching up anymore nifanye nini🤣🤣🤣Hii ni mara ya kwanza kukuona selikavu ndani ya back 5
Makasiriko ya nini sasa hutaki GG🤣🤣🤣Halafu haya maswala ya GG si tumeyakataza 😂
GG ya nini na wakati unapita tu shwaaah 😂😂😂
Nimeshtuka nimecheck game plan nashangaa upo ndani ya back 5😅Kama match up is not matching up anymore nifanye nini🤣🤣🤣
Which is not matching up anymore 🤣🤣🤣Subiri matokeo yaje uone shughuli 😂
Najisahau najikuta nakaba kwa kuilazimisha match up 😂
Mi mwenyewe sikutamani hata aje room afu nilimtumia invite 😄Nimeshtuka nimecheck game plan nashangaa upo ndani ya back 5😅
Nimeweka leo Mrnee ni game plan ilikuwepo tuu...Nimeshtuka nimecheck game plan nashangaa upo ndani ya back 5😅
😃😃😃Utakutana nayo tuu na nataka nianze kuwasha na defensive moja match ikianza tuu🤣🤣🤣Mi mwenyewe sikutamani hata aje room afu nilimtumia invite 😄
Karibu chamani back 5😅. Phase hii yote nimetumia back 5😅Nimeweka leo Mrnee ni game plan ilikuwepo tuu...
Jana mapema mrnee nimeingia division nikafungwa kama game tano alafu magoli ya hovyo nikaona ujinga huu embu niweke back 5 kwanza😃😃😃maana nililifika Division 2 juzi nikashushwa mpka 1300 nikaona hapa kazi ipo🤣🤣🤣
Embu maliza niboost simu twende moja nimuone huyo mbappe 🤣🤣🤣Razorblade huo ukabaji wake mpya amekuja kuujabu kwangu 😅 ngoja nione kama ataeza kumzuia Mbappe
Owaa huu mfumo mtamu aseee ngoja niumaster then niludi division 😃😃😃Karibu chamani back 5😅. Phase hii yote nimetumia back 5😅