eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Konami wangese Jana nili download commentor ya spain ,leo nikasema ni download naya english niwe nabadilisha si kumbe hazikai zote bhana, nme jikuta nme download commentator mbili afu zika potea zote inabidi ni download tena 😹
Mbona huwaga ni moja unabadilisha😃😃😃eniwei sijui me nishajizoeelea bila commentary
 
Uki download ya pili ile ya kwanza ina jifuta , sasa me nime download ya pili ya kwanza nikaona ime futika ina itaji ni download tena .
si nika tap kui download tena na iyo ya pilii ikaliwa kichwa
Chagua mmoja sema ya spanish huwa ina mzuka sana sema ndo huelewi kitu🤣🤣
 
🤣🤣🤣Alibadilisha nadhan baada ya kuanza kumpiga msako🤣🤣🤣
Halafu nilikuwa nimeandika Pamela Mamtu 😂😂😂

Sema nikawa nafikiria kukucheki kitambo ila nikaona nivunge kwanza, Konami wamelazimisha iwe jana 😂😂😂
 
Back
Top Bottom