Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
104
102
Booster gani?
Na huyu beki wa afu mbili nae anafika ngapi?
Na Silvester nae anafika ngapi kwa kocha wa booster 1?
102 na yeyeNa Silvester nae anafika ngapi kwa kocha wa booster 1?
Poa102 na yeye
Mpuuzi we unajiita jina la kiarabu nisingekupata tu 😄Hukuitafuta vizuri 😂
😃😃😃Mkimfunga booster mnamuogesha tena kwa messi ndo anafika 104 ama😃😃😃
We tukujibu mara ngapi embu toa hiyo elfu mbili acha ubahili mzee🤣🤣🤣Na huyu beki wa afu mbili nae anafika ngapi?
Nimeona anafika 102 kwa kocha yeyote wa booster 2.
102 nadhanYule wa 6000 kule anafika ngapi.. tukavunje kibubu
🤣🤣🤣Alibadilisha nadhan baada ya kuanza kumpiga msako🤣🤣🤣Mpuuzi we unajiita jina la kiarabu nisingekupata tu 😄
Kimetokea nn ulipigiwa au mtu aliwasha airplane modeDaah hii imeniuma sana😭
View attachment 3442103
Haha akajiona mjanjaa 😅 sisi ni pipo tushakutana sasa🤣🤣🤣Alibadilisha nadhan baada ya kuanza kumpiga msako🤣🤣🤣
Mi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.Daah hii imeniuma sana😭
View attachment 3442103
Nilikuwa naongoza moja ilo goal la pili. Ndo hivyo mb 200 tigo hazifanyi kazi😭Kimetokea nn ulipigiwa au mtu aliwasha airplane mode