Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,294
🤣🤣🤣Alafu mbona natumia sana hilo neno basi tu umeunganisha matukio ukaona linakuhusu ila ni kawaida...Mkuu nimeanza kuwa sheikh tena? 😂
Halafu ile about yako naona imekaa kimkakati, vipi ni mulemule au umeghushi? 😂😂😂
Kuhusu about nimegushi tuu🤣🤣