Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,028
- 12,559
Nipo natrain 3 attackers(WF's+CF), naona anashinda yeyote tu šATakaa sawaa tuu ngoja nisikie milio ya Pamela mamtuš¤£š¤£š¤£
Nipo natrain 3 attackers(WF's+CF), naona anashinda yeyote tu šATakaa sawaa tuu ngoja nisikie milio ya Pamela mamtuš¤£š¤£š¤£
Ushawahi kumuweka muarabu wewe? šChagua mmoja sema ya spanish huwa ina mzuka sana sema ndo huelewi kituš¤£š¤£
Tano gan tenaššMkuu tupashe nijirudishie Tano zangu šš
Ligi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
Mpaka nizoee formation mpya siyo leo, nimpate Hazard kushoto na Lamine kulia halafu Batigoal katikati daah hatari tupu šLigi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
Maombi ya wadauššHutaamini ukimuona kwenye first eleven š
Kwani zile nilizozipukutisha kipuuzi nilizitunza vipi? š
Me nilileft kitambo ningekuwepo ningekuona...Halafu nilikuwa nimeandika Pamela Mamtu ššš
Sema nikawa nafikiria kukucheki kitambo ila nikaona nivunge kwanza, Konami wamelazimisha iwe jana ššš
Unanikaba sana hii naona umeniwekea man marking kabisa šššMaombi ya wadaušš
Mule kinachofanya nisichat ni lugha zao za ajabu šMe nilileft kitambo ningekuwepo ningekuona...
Fresh barida tuu šNipo natrain 3 attackers(WF's+CF), naona anashinda yeyote tu š
Engara messi ššUshawahi kumuweka muarabu wewe? š
Una moto sheikhšš
Mpe moyo tuuLigi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
HutoboiššUnanikaba sana hii naona umeniwekea man marking kabisa ššš
Commentary 2 tu ndo naona zinafurahisha, kiarabu na kihispania šEngara messi šš
Mkuu nimeanza kuwa sheikh tena? šUna moto sheikhšš
Kihispaniola ndo naona unyamaššCommentary 2 tu ndo naona zinafurahisha, kiarabu na kihispania š
Pipa na mfunikoššwaleOya hivi huyu Messi wa bure wa update hii na yule wa bure wa 2025 yupi anastats nzuri zaidi?