Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 351
- 833
Na hii mara nyingi inatokea ukiwa unaongozašMi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Na hii mara nyingi inatokea ukiwa unaongozašMi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Konami jauNa hii mara nyingi inatokea ukiwa unaongozaš
Dunia duaraššHaha akajiona mjanjaa š sisi ni pipo tushakutana sasa
Ukabaji wa kishenzi mnošššMi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Pole sana mkuu ššNilikuwa naongoza moja ilo goal la pili. Ndo hivyo mb 200 tigo hazifanyi kaziš
Ngoja tu nimpumzike sasa wamenifyeka points 35šPole sana mkuu šš
Huyu isco atatutoa roho
Hahaha mkuu imekuaje game tanošHii imevunja rekodi sasa nipumzike tuView attachment 3442124š
Nimesahau kulichezašHahaha mkuu imekuaje game tanoš
Aah zote hizo ulimzidi Rank nini ššNgoja tu nimpumzike sasa wamenifyeka points 35š
Tucheze na Ai kwanza wakati wenye division yao wanalud walipotoka šššHii imevunja rekodi sasa nipumzike tuView attachment 3442124š
ššHii update nadhan itakuwa imekuja na na QC šmaana LBC naona imekuwa ya kawaida kabisaNimesahau kulichezaš
Lbc udwanzi sana ngoja nipigie AI nijifunze upya gameššHii update nadhan itakuwa imekuja na na QC šmaana LBC naona imekuwa ya kawaida kabisa
Wanadai kuwa kila update inakuja na system moja ambayo inakuwa so effective nadhan kwa saiv itakuwa QcššLbc udwanzi sana ngoja nipigie AI nijifunze upya game
Nimeona Owen wangu kawaka kwel kwelššškila game na Ai anatoka na mpiraWahuni wame mkata kichwa bat goal, simwelewi kabisa š¹š¹