Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Huyu waliyemleta??Rodri ana speed 80. Hatimaye nitumie card ya Rodri sasa
Naomba training zake
Huyu waliyemleta??Rodri ana speed 80. Hatimaye nitumie card ya Rodri sasa
Huo muda wa kutengeneza cross ninao basi😃😃😃🤣Hamia Outwide 😀
Hiyo card ya baston ni utopolo kaka🤣🤣Tatizo siyo kuwahi, tatizo muda wangu wa kuwa na simu ni night.
Embu screenshot hiyo misukule niione kwanza 😂
Na Aerial yake😃😃atakaribia kdg 😃😃Hamfikii van basten wala haaland nadhani
Tchoumen apumzike sasa 😃😃Rodri ana speed 80. Hatimaye nitumie card ya Rodri sasa
Sina shida nayo hiyo.Hiyo card ya baston ni utopolo kaka🤣🤣
Me nikipata nitachukuaHuyo Ruud hamna kazi, nitafute afu 2 ya beki tu 😂
Mkuu guardiola alikushinda😀Huyo Ruud hamna kazi, nitafute afu 2 ya beki tu 😂
Wanafanana ila huyu wa sasa hivi speed imeongezeka kidogoHivi card hii na ile iliyopita ipi inastats nzuri?
Nimeweka defaultHuyu waliyemleta??
Naomba training zake
Ndo kwanza nilikuwa nme ingia sija fanya chochote 😹😹Nlitaka unifundishe kaka 😂😂
Ngoja Niruke nayo ,Spain😃😃
Aah sawa sawaaNimeweka default
Rijkaard sijamuona ,nilizani atakua kwenye chance deal niki ingia tuHi card ya huijsen naona konami hawataki kunipa😃😃🤣🤣
Na single booster yake 😃
Sasa yule nae mchezaji mkuu 😂Mkuu guardiola alikushinda😀
Nitamchukua tu maana nominating contract za five star ninazo nyingi.Wanafanana ila huyu wa sasa hivi speed imeongezeka kidogo
Huijsen ana booster?Hi card ya huijsen naona konami hawataki kunipa😃😃🤣🤣
Na single booster yake 😃
Yupo pale ngoja tupewe Hazard kesho then zinafuata atakuwepoRijkaard sijamuona ,nilizani atakua kwenye chance deal niki ingia tu