Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Ndiyo unamfunga booster mojaHuijsen ana booster?
Ndiyo unamfunga booster mojaHuijsen ana booster?
Sio wa booster mbili lakiniHuijsen ana booster?
Mnamfurahia hazard mie sijaupdate, ngoja nikatafute anaeuza vifurushi vikuwa huko tsap 😂Yupo pald ngoja tupewe Hazard kesho then zinafuata atakuwepo
Embu card yake niione.Ndiyo unamfunga booster moja
Ni build up kaka simu nimebakiza mbili hapa nataka niuchape..Embu card yake niione.
Ungekuwa na halotel ningekupunguzia Gb mojaMnamfurahia hazard mie sijaupdate, ngoja nikatafute anaeuza vifurushi vikuwa huko tsap 😂
Huyo anaweza kuna muweka benchi Beraldo kama akiwa na stats nzuri.Ni build up kaka simu nimebakiza mbili hapa nataka niuchape..
Kesho mapema nakutumia
Ungekuwa na halotel ningekupunguzia Gb moja
Kwamba huoni navyolalamikaga kuhusu halotel au, embu nipe za kutosha ku-update game kabisa, yanaongeleka haya 😂Ungekuwa na halotel ningekupunguzia Gb moja
Fanya namna mkuu maisha ndo hayahaya 😂Maana me line yangu Gb 2.9 ni elfu tatu😃na unaweza kugawa
Pow nichek tsap na hilo linamba lakoKwamba huoni navyolalamikaga kuhusu halotel au, embu nipe za kutosha ku-update game kabisa, yanaongeleka haya 😂
Chap simu inazima kakaFanya namna mkuu maisha ndo hayahaya 😂
Yanaongeleka mbona 😂
Hatimae naenda kutambulika, siku za mwizi zimeisha 😂😂😂Pow nichek tsap na hilo linamba lako
Only mbs 1000 otherwise ununue kwangu nikurushie zote Gb 2.9
Poa nakuja.Chap simu inazima kaka
Jina si lilelile?Chap simu inazima kaka
Group nilishaleft kitambo nakutumia namba PmJina si lilelile?
Nakumbuka kaka akawa anatuchek tuu 🤣🤣🤣Kwishaa 😅 nilisachi sana username yake huyo akawa mjanja
Hukuitafuta vizuri 😂Kwishaa 😅 nilisachi sana username yake huyo akawa mjanja