Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Chukua ile card mzee😃😃Kwa formation nayotaka kuanza kutumia Drogba anaanzia nje, sasa nikimchukua huyo si nitamuweka reserve kabisa.
Chukua ile card mzee😃😃Kwa formation nayotaka kuanza kutumia Drogba anaanzia nje, sasa nikimchukua huyo si nitamuweka reserve kabisa.
Hiyo afu 2 tu naihurumia hapo sema kwa vile sina full back mwenye rate kubwa 😂Chukua ile card mzee😃😃
Mapema tu nime set uziNEGAN konami wamekukumbuka na Atletico yakoView attachment 3441337
Kijana Mbahili😃Hiyo afu 2 tu naihurumia hapo sema kwa vile sina full back mwenye rate kubwa 😂
Huu uzi ndo unyama sana kuna game plan moja nitaweka Atletico chama langu napenda kila kitu chao kuanzia kukaba mpaka ushambuliaji😃😃Mapema tu nime set uzi
Khalas 😂Kijana Mbahili😃
Mpira wa Diego Simeon ni mbaya sana na siyo modern kabisa yaani ni hekaheka tupu wachezaji laini kama Joao Felix wameushindwa 😂😂😂Huu uzi ndo unyama sana kuna game plan moja nitaweka Atletico chama langu napenda kila kitu chao kuanzia kukaba mpaka ushambuliaji😃😃
Kama mlikua hamjui team gan nacheza mpira wake ni Atletico
Wa ajax vipi
Na Mimi nimeshangaa, nahisi wanaweza kutuletea juma tatu au alihamisi.
Wewe si una account mbiliIlinipita Jana, ipo kweli au. Mimi nataka cr 7 wa ....😂😂😂
Mourinho ana hizifox in the box nishawahi kumtumia haalaand mwaka jana ni wakati wa kurudi kutumia fox in the box
Ningemchukua ila anacheza quick counterMourinho ana hiziView attachment 3441480
Na ndo anavuta mkwanja mrefu kuufundishaMpira wa Diego Simeon ni mbaya sana na siyo modern kabisa yaani ni hekaheka tupu wachezaji laini kama Joao Felix wameushindwa 😂😂😂
Wa ajax vipi
Nawaza niliud kwenye Qc😃😃Ningemchukua ila anacheza quick counter
Mourinho ana hiziView attachment 3441480
Mzee upo siriazi hadi Yamal naona yupo ndani ya mjengo mapema tuNingemchukua ila anacheza quick counter