Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Ndo hata tetesi?Mkataba wake mzito😃😃
Hamna kocha pale zaidi ya tapeli tu 😂
Ndo hata tetesi?Mkataba wake mzito😃😃
Nlitaka unifundishe kaka 😂😂😹😹 mjukuu11 unataka kuni angamiza kuingia tu 2026 una nipiga invite
Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema😢Ukichagua region kuna baadhi ya event hauchezei team za Europe
Niliona sana hii kwenye account ya Japan
Kama uliweka Brazil hapo tafuta card za league ya brazili za kutosha pale kwenye nominating contract kwenye event za hivyo unawaweka wao kidogo unapata bonus points kubwa..
Pia unaweza nunua hata wa GP ili upandishe point mapema upewe chance deal
Outwide team inapasuka kati kati😀Hii Outwide defense yake mbona siielewi..
Ila game limebadilika sana makipa wanafungika kama kwenye Ps😃😃
Au kwa sababu sijakutana na khan
Kumbe kwa hiyo team inacheza sana pembeniOutwide team inapasuka kati kati😀
Kocha noma sana yule😆😆Ndo hata tetesi?
Hamna kocha pale zaidi ya tapeli tu 😂
Hakuna kilichoharibika kaka😃una siku 365 mwakan utachange tuu..Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema😢
Ndio wachezaji wanatanua uwanja. Ubaya unakuja through ball moja kati kati mtu anakufunga😀Kumbe kwa hiyo team inacheza sana pembeni
Nimecheza link up ya Dimarco Cross specialist na Fox in box Halaand aseee😃😃😃Outwide team inapasuka kati kati😀
Alafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy😃😃afu sita yako tuu😃😃sema sijajua heading atakuwajeNdio wachezaji wanatanja uwanja. Ubaya unakuja through ball moja kati kati mtu anakufunga😀
Ana Booster ya Aerial pale ,😃😃😃anakufaa kwa majaribio ya link upAlafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy😃😃afu sita yako tuu😃😃sema sijajua heading atakuwaje
Hakuna cha kuwai hata😃😃Yani mpaka dakika hii sijafanya update na sijui nitafanya saa ngapi 😂
Hamia Outwide 😀Nimecheza link up ya Dimarco Cross specialist na Fox in box Halaand aseee😃😃😃
Basi tuu Outwide ni ushenzi ila combo tamu sana😃😃😃 Dimarco akishika mpira tuu Halaand ananyanyua mkono baba mwaga majaro😆😆😆
Tatizo siyo kuwahi, tatizo muda wangu wa kuwa na simu ni night.Hakuna cha kuwai hata😃😃
Labda baston wa 94 ambaye ni Extra front man
Hamfikii van basten wala haaland nadhaniAlafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy😃😃afu sita yako tuu😃😃sema sijajua heading atakuwaje
Huyo Ruud hamna kazi, nitafute afu 2 ya beki tu 😂Hamfikii van basten wala haaland nadhani
Hivi card hii na ile iliyopita ipi inastats nzuri?Rodri ana speed 80. Hatimaye nitumie card ya Rodri sasa