NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Jina lake tu KMHuyo jamaa ni mchaga
Guardiola wa Elfu mbili tu hakutoa🤣🤣🤣
KM=Kijana Mbahili
Jina lake tu KMHuyo jamaa ni mchaga
Guardiola wa Elfu mbili tu hakutoa🤣🤣🤣
Wakiweka 5k si kila mtu atakua nae😀Wamuweke CR7 halafu auzwe 5k uone kama hutomkuta kikosini 😂
Owen wangu haguswi labda tubadilishane na puskas👏🤣🤣🤣Ya moto sana.... kuishi vizuri na watu ndo kutafanya tuenjoy hili game aiseg
Atakuja na offer kwamba akupe Batistuta Oliver khan na Cannavarro umpe Ronaldo🤣🤣🤣Jina lake tu KM
KM=Kijana Mbahili
Hawawez wanajua konamiWakiweka 5k si kila mtu atakua nae😀
Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapi😀 mchukue Drogba wa Razorblade 😀NEGAN Incase hii exchange ya wachezaji ikawa kwel nitakuja sana kwako🤣🤣🤣
Kante hiyo ni done deal haina mjadala...
Namtaka messi wa 105 nikupe Van Basten🤣🤣🤣
Rijkard plus Casillas ile nakupa Cannavarro 😃😃😃
Boss kalewa
Ana heading 90😃😃Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapi😀 mchukue Drogba wa Razorblade 😀
Jitu lina uzito wa Gb 2.7 update nzima ya konami inaingia kwake nalipeleka wap🤣🤣🤣Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapi😀 mchukue Drogba wa Razorblade 😀
Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana namba😃😃NEGAN Incase hii exchange ya wachezaji ikawa kwel nitakuja sana kwako🤣🤣🤣
Kante hiyo ni done deal haina mjadala...
Namtaka messi wa 105 nikupe Van Basten🤣🤣🤣
Rijkard plus Casillas ile nakupa Cannavarro 😃😃😃
Boss kalewa
Mkuu basi hoja hii iishie hapa 🤣🤣🤣🤣 Kuna Lukebakio yupo paleOwen wangu haguswi labda tubadilishane na puskas👏🤣🤣🤣
Basi zaidi ya hapo hawapati hela yangu 😂Wakiweka 5k si kila mtu atakua nae😀
Hao wote hawatoki hata iweje 😂😂😂Atakuja na offer kwamba akupe Batistuta Oliver khan na Cannavarro umpe Ronaldo🤣🤣🤣
Huyo Drogba ndo msimzungumzie kabisa, mimi kama Newcastle kwa Isack 😂😂😂Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapi😀 mchukue Drogba wa Razorblade 😀
Ndiyomaana kwangu anakula Counter target, akikulalia tu yeye mbele 😂Jitu lina uzito wa Gb 2.7 update nzima ya konami inaingia kwake nalipeleka wap🤣🤣🤣
Sasa mkuu nawe kwa card gani ulizonazo za kubadilishana bhana, kutupigia kelele tu 😂😂😂Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana namba😃😃
Utaniambia card ipo unaitaka ila sio Owen 😃😃
Unamfamu leao wewe😃😃Sasa mkuu nawe kwa card gani ulizonazo za kubadilishana bhana, kutupigia kelele tu 😂😂😂