Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Baadae waje watuletee feature ya kuedit team logo 😂Haha uhakika ni wewe tu
Baadae waje watuletee feature ya kuedit team logo 😂Haha uhakika ni wewe tu
Huyo huyo, niliachana na kutumia back 4 sababu ya kukosa DFB wa kueleweka ila hakuna namna ni kuhakikisha nafanyia kazi kwenye kuzuia.
Uta design yako au 😀Baadae waje watuletee feature ya kuedit team logo 😂
Kabisa, wanazingatia sana modern football ndiyomaana wanakuwa wachache.Konami wanajua tuna uhitaji nao sana ndo mana mara nyingi wanaletwa pale kwenye epics tu.. kama kina Maldini, Thuram...
Ewaaah! Sema haya mambo ya master league, kuichukua na kuanza kuipandisha daraja 😂Uta design yako au 😀
Sija update bado taona mida mida
Unyama ni mwingiView attachment 3441306View attachment 3441308
Kila uwanja unaupa jina lake unavyotaka wewe.. kama mi hapo nilirudia majina, uwanja wa 3 sikuscreenshot.
Na upande wa jezi kwenye zile zote ulizonazo saivi unaweza ukachagua yoyote ile iwe ndo main ya kwanza pale unavyoingia mechi, ya home au away.
Pamela mamtu stadiumAisee sasa username yangu niliyoitoa itarudi kuwa jina la viwanja vyangu 😍
Ndo hamna lolote la maana 😀Sija update bado taona mida mida
Wamefanya la maana Tony adam atupumzishe😀UPDATE NZURI HII NIMEIPENDA..
ILA WAMENIKERA MNO WALIVYOBADILISHA HAPO KWENYE UPIGAJI WA KONA 😀🥺😀
HII MPAKA NIIZOOEE SI MWAKANI TENA UPDATE IKIKARIBIA 🥴
View attachment 3441155View attachment 3441156
Kumekucha 😂Pamela mamtu stadium
Nipe stats za huyo beki kwanza nione kwa kocha wa boostwr 1 anafika OVR ngapi.
Mwambie anitajie booster yake kama unampata😁😁Yule nadhani ana 103, kuna msela mmoja nimemuona kwenye kikosi chake anae.. ila ni Attacking FB.
Mbona defensive yake mbovu sasa.
Hujamuwekea booster bado?Mwambie anitajie booster yake kama unampata😁😁
Naye ni Kounde wa 99😁Beki nyingi za pembeni kwenye eFootball ni Attacking FB, Defensive ni wachache sana nahisi hii ni kutokana na modern football.
Mpaka hivi sasa nina Defensive FB mmoja tu tena OVR yake ni chini ya 100.
Cross specialistMbona defensive yake mbovu sasa.
OVR yeke ngapi?Cross specialist
Alafu ni Full back mkuu
Fullback mwenye stats nzuri labda maldin na costacurta
Humu ndani pagumu mno😆😆Pamela mamtu stadium
96 ukimuweka uwanjan 102OVR yeke ngapi?