NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Rudi watu tupate upenyo wa kushambulia vizuri😀Nawaza niliud kwenye Qc😃😃
Rudi watu tupate upenyo wa kushambulia vizuri😀Nawaza niliud kwenye Qc😃😃
Lakini hauleti mafanikio.Na ndo anavuta mkwanja mrefu kuufundisha
Coin zilikuwepo mzee nikasema simuachiMzee upo siriazi hadi Yamal naona yupo ndani ya mjengo mapema tu
Naona wachezaji wamekuwa kama misukule.Coin zilikuwepo mzee nikasema simuachi
Kashamchukia sijachungulia pale😃😃😃Mzee upo siriazi hadi Yamal naona yupo ndani ya mjengo mapema tu
Kwann hafukuzwi sasa😃😃Lakini hauleti mafanikio.
Aah ulikuwa unatusumbua sana na yule wa 100 kipind fulan😃😃Coin zilikuwepo mzee nikasema simuachi
Ukichagua region kuna baadhi ya event hauchezei team za EuropeSelikavu Kaka naomba usiscreenshot events zako vs Ai. Nimechagua Brazil alafu konami wanataka kunifanyia uhuni😢
Spain😃😃Commentator wa nchi goni ana amsha amsha ,uyu wa English kapoa sana
😆😆😆QC ni yale yale tuu😃😃mabeki wanalindwa then kazi iendelee😃😃Rudi watu tupate upenyo wa kushambulia vizuri😀
Wanamlinda tu yule kwa sababu ni legend wao.Kwann hafukuzwi sasa😃😃
Mkataba wake mzito😃😃Wanamlinda tu yule kwa sababu ni legend wao.
Ushawahi sikia timu yoyote inamtaka yule?