Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Nilimpa random defendingHujamuwekea booster bado?
Nilimpa random defendingHujamuwekea booster bado?
Wewe unatumia kocha wa booster 2 ndiyomaana kafika 102.96 ukimuweka uwanjan 102
Au Kijana Mbahili stadium 😆😆Pamela mamtu stadium
Gilberto kasema anafika 103 kwa hiyo kwa kocha yoyote ni 102Wewe unatumia kocha wa booster 2 ndiyomaana kafika 102.
Sema huyo unaenda costomize kwenye progression points unamjaza defensiveNilimpa random defending
Huyo nitapita nae ila Ruud simchukui maana ni fox in the box.Au Kijana Mbahili stadium 😆😆
Huyo afu 2 yangu atakula 😂Gilberto kasema anafika 103 kwa hiyo kwa kocha yoyote ni 102
Aah kama anacheza CB ila LB nadhan ni sawa tuuSema huyo unaenda costomize kwenye progression points unamjaza defensive
Chap tuu hapa nitafute elfu 16 isiyo na kazi😁😁Huyo afu 2 yangu atakula 😂
Si ni kama drogba😃😃😃drogba nae ni Fox in the BoxHuyo nitapita nae ila Ruud simchukui maana ni fox in the box.
Afu 16 ya nini tena?Chap tuu hapa nitafute elfu 16 isiyo na kazi😁😁
Ya morinho elfu 10 naAfu 16 ya nini tena?
Ndiyomaana nimesema simchukui huyo.Si ni kama drogba😃😃😃drogba nae ni Fox in the Box
Oya niletee uzi wa Santos hapa 😂NEGAN konami wamekukumbuka na Atletico yakoView attachment 3441337
🚮 😂Ya morinho elfu 10 na
Ruud van nestory 6000
Mchukue awe sub ya Didier 😃😃alafu sijui kwann mnachukia Fox in box wakati ndo playstyle ya strikers inayopendwa zaid kwenye efootballNdiyomaana nimesema simchukui huyo.
Oya niletee uzi wa Santos hapa 😂
Kwa formation nayotaka kuanza kutumia Drogba anaanzia nje, sasa nikimchukua huyo si nitamuweka reserve kabisa.Mchukue awe sub ya Didier 😃😃alafu sijui kwann mnachukia Fox in box wakati ndo playstyle ina strikers inayopendwa zaid kwenye efootball
Wametoa third kit aisee 😪