eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mapema sana leo 😀
Sijui mtaniambia nini na Rank yangu😁😁😁
Screenshot_20250814-125759.png
 
Hivii walioanza game miaka ya nyuma, mbona huwa wanapewa free players after update tena wanaspin za kutosha ila hii mi sijaona chochote zaidi ya Messi..

Mana hata mwaka jana nilliona walipewa wachezaji wa kutosha tu, kwani hii imekaaje wakongwe..

NEGAN Mr Devil Edo kissy
Wataleta tuu😁vingi bado hawajaweka
 
Sema mkuu hujataka kuchelewa mpaka graphics za stadium umedownload.
Sijadownload chochote zaidi ya kuupdate game kaka.. kuna setting mpya ya kuchagua rangi ya uwanja.
eFootball Stadium kuna sehemu unachagua rangi unayotaka unakuwa unautumia, ko kwenye mechi hata kama hauja download viwanja tayari utakuwa na vyako vitatu.
 
View attachment 3441306View attachment 3441308
Kila uwanja unaupa jina lake unavyotaka wewe.. kama mi hapo niliturudia majina, uwanja wa 3 sikuscreenshot.

Na upande wa jezi kwenye zile zote ulizonazo saivi unaweza ukachagua yoyote ile iwe ndo main ya kwanza pale unavyoingia mechi, ya home au away.
Aisee sasa username yangu niliyoitoa itarudi kuwa jina la viwanja vyangu 😍
 
Back
Top Bottom