eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu Hatua ya Robo Fainal imeisha matokeo ni kama yafuatavyo
IMG_20250809_002251_092.jpg


Kesho tunaendalea na Nusu Fainali
Ratiba ni hii

Settings za game zile zile kama robo fainal
IMG_20250809_002247_995.jpg
 
Mkuu Razorblade good game sana mkuu.... game ya kwanza nimejifunza mengi sana build-up yako ipo poa sana sema Kuna muda unarusha sana ndege one two zimgekubeba kwa set-up yako pale mbele... Shukran
Lingine ukizidiwa game panda ndege (Airplane mode)
images (9).jpeg
 
Mechi ya kwanza nilikuwa najihami lisitokee kama lilitokea dakika za mwishoni mechi ya 2.

Good game mkuu, unaubonda 😂
Huyo ukiingia nae room cheza kama unacheza na Gilberto 🤣🤣🤣ukisema tuu ujichanganye imo na puskas hakosi mzee😃😃
 
Back
Top Bottom