Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,559
- 11,373
Halafu sijasomea sasa kilichonikuta ni kuporwa mipira na kuchakazwa 😂😂😂Fainally ukarusha ndege 🤣🤣View attachment 3436310
Halafu sijasomea sasa kilichonikuta ni kuporwa mipira na kuchakazwa 😂😂😂Fainally ukarusha ndege 🤣🤣View attachment 3436310
Michezo hiyo kaka🤣🤣🫵🫵🫵🫵Kwako sitoboi mkuu....hiki kikosi umesaidia sana kuniundia mkuu....shukrani sana.
ni kwel mkuu ... haaland alikuwa anachelewa kupress sababu Hana Kasi akawa anafanya niwe huru kupiga pasi....drogba mda wote alifanya beki ziwe chini na zibutueJamaa hana hata huruma, huenda sub pia zimeniponza 😂
Nilimtoa Drogba nikamuingiza Haaland nikamtoa Kane nikamuingiza Torres 😂
Unafungwa mpaka unajicheka 😂😂😂Michezo hiyo kaka🤣🤣🫵🫵🫵🫵
😹😂😂vipigo vyenu vime nishtua sana,Nenda kamkabe Puskas mbona unamkimbia🤣🤣
Pokea shukrani hiyo ya kuniundia kikosi japo na safari badoMichezo hiyo kaka🤣🤣🫵🫵🫵🫵
Dah! Michezo hii 😂😂😂ni kwel mkuu ... haaland alikuwa anachelewa kupress sababu Hana Kasi akawa anafanya niwe huru kupiga pasi....drogba mda wote alifanya beki ziwe chini na zibutue
Huyu jamaa hafai😹😂😂vipigo vyenu vime nishtua sana,
Visa unayo? 😂😂😂😹😂😂vipigo vyenu vime nishtua sana,
Hahahahaha dah mkuu....dvn 1 bado uwezo hauruhusu 🤣🤣 ndo nakomaa nifikeAnajikuta panya, ukute hii account anaitumia huku JF tu 😂😂😂
Ukute anabadge ya dvn 1 na rank nzuri kabisa ila anajifurahisha na sisi manoob 😂😂😂
sub zilizidi mkuu hahaha ....bahati ilikuwa upande wangu leoDah! Michezo hii 😂😂😂
Ulijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu 😂😂😂Huyu jamaa hafai
Acha michezo yako wewe 😂😂😂Hahahahaha dah mkuu....dvn 1 bado uwezo hauruhusu 🤣🤣 ndo nakomaa nifike
😂😹😹 dahVisa unayo? 😂😂😂
😹ana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumoHuyu jamaa hafai
Susia mechi 😂😂😹😹 dah
Mkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh 🤣🤣🤣🤣 mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.Ulijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu 😂😂😂
Hii nchi inawanafki sana 😂😂😂
Eti anakwambia amejifunza mengi sana 😂😂😂😹ana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
😹😹 Selikavu ana mwambia jamaa kila siku afanye kupiga vile vi penalty ,ukute apo pro Kandambili1 alikua anacheka sanaUlijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu 😂😂😂
Hii nchi inawanafki sana 😂😂😂
Selikavu hachezi hivyo sasa we unachukua mbinu gani kwake? 😂😂😂Mkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh 🤣🤣🤣🤣 mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.