eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Niliwahi gusia hiki wakati Selikavu ana mfundisha trick , match nilio panda nae nikaona uyu ni pro kabisa kasoro kikosi 😹😂 Kandambili1 katuingiza kwenye mtego
Kaka najuta 😃😃😃leo me ndo wa kuanza kujifunza vitu kwenye mpira wake kwel😃😃😃hapa tulichezwa🤣🤣🤣
 
Imebidi nirushe aviator mkuu, ulikuwa bora sana 😂
Fainally ukarusha ndege 🤣🤣
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom