Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Imeisha hiyo🤣🤣Niliscreenshots chap sjui wenyewe mtaamuaje
Imeisha hiyo🤣🤣Niliscreenshots chap sjui wenyewe mtaamuaje
Hizo counter target hapana 😃😃😃Kanisumbua siku ile kila akipia unadondoka nyuma ya beki zangu na hajawasha blue.😀
Kaka una balaa😹 Razorblade aliwasha kindege ai kuharibika iyoMkuu mechi ya pili naona haijaisha sababu ya connection kufail dakika za mwishon
Uwakika😹Hamna ni hii ukipiga juu wanabaki peke yao na beki😀.
Jamaa anapiga pasi kama ugomvi, ila hana huruma kabisa 😂Wap Mandonga mtu kazi🤣🤣🤣
Razorblade 😀Mkuu mechi ya pili naona haijaisha sababu ya connection kufail dakika za mwishon
😹😹😹Akitoka Razorblade Mzaramo unafata wewe kwenye kuongea kaka🤣🤣🤣
😂😂Jamaa anapiga pasi kama ugomvi, ila hana huruma kabisa 😂
Sitaki kujitetea leo nitaonekana mpiga domo, hali yangu leo umeiona.
Halafu umeniletea dharau wewe kwanini ulitoka room 😂
We umekunywa supu ya ngadu nini? 😂Kaka una balaa😹 Razorblade aliwasha kindege ai kuharibika iyo
😂😂amna namna una kula mkono afu una ambiwa Good game dahHuu unafiki wa good game hauishii
Nilibana hadi mbupu ili nimalize mechi 😂😂😂Razorblade umevamia mtumbwi wa vibwengo leo😀
Nilikuwa namuwai Alexander niliona kajaJamaa anapiga pasi kama ugomvi, ila hana huruma kabisa 😂
Sitaki kujitetea leo nitaonekana mpiga domo, hali yangu leo umeiona.
Halafu umeniletea dharau wewe kwanini ulitoka room 😂
😂😂 5 ni kubwa kuliko 3 si unajua ilo lakini .We umekunywa supu ya ngadu nini? 😂
Niwashe kindege dakika za mwishoni muda wote nilikuwa wapi? 😂😂😂
Mkuu naona siku mbaya kazini ....mech ya kwanza alinipiga lakiniKaka una balaa😹 Razorblade aliwasha kindege ai kuharibika iyo
Sasa si fair game wakuu😃😃😂😂amna namna una kula mkono afu una ambiwa Good game dah
We mchawi batigoal anakosa tu magoli sijui anacheza huku anasinzia.View attachment 3436298View attachment 3436299
😹😹 Warld puyol kiazi sana kajifunga
View attachment 3436300
Jamaa ana knowledge zote nachunguliaga account yake napita kimya😀Nilibana hadi mbupu ili nimalize mechi 😂😂😂
Nauhakika huyu hakuwa noob, alikuwa anatuchora tu 😂