NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Weka msimamo tuone😀Hii ligi😃😃😃aseee
Kuna matukio saivi yanendelea sio pow kabisa
Weka msimamo tuone😀Hii ligi😃😃😃aseee
Kuna matukio saivi yanendelea sio pow kabisa
Nangojea hawa waliopo room walete tokeoWeka msimamo tuone😀
NEGAN hatimae umecheza na umechakazwa 😂Second game bat goal akichukua notes za kuvizia kwa drogba wa Razorblade 😹
View attachment 3434350View attachment 3434351
Kukaba smart assist kaka siwezi hapo tegemea vipigo vingi zaidi😀
Dah 😂Second game bat goal akichukua notes za kuvizia kwa drogba wa Razorblade 😹
View attachment 3434350View attachment 3434351
😹 kaka sija dribble ukitoka kwa beki una ukuta mbele + match up , smart assist offKukaba smart assist kaka siwezi hapo tegemea vipigo vingi zaidi😀
Oya hizi simu za usiku jau aisee 😂Sawa 😂 utajaa tu
Sipo peke angu nipo Kandambili1 😃😃😃
Dah! Haya madharau 😂Razorblade kwenye hii efb 25 hatokaa anifunge 😂.. tukutane efb 26 labda ataotea sare
Kwamba ilikua off?😹 kaka sija dribble ukitoka kwa beki una ukuta mbele match up , smart assist offView attachment 3434354
Huu uchawi 😂Na utaishia hapohapo hausogei wewe 😂
Kaka tuendelee kujifunza ipo siku tutaanzisha ligi ya smart assist users vs Non users 😃😃Kukaba smart assist kaka siwezi hapo tegemea vipigo vingi zaidi😀
😹turudi room ?Kwamba ilikua off?
Kipindi kile uli nipiga na smart assist hadi ukaniomba radhi 😹Kaka tuendelee kujifunza ipo siku tutaanzisha ligi ya smart assist users vs Non users 😃😃
Tungerudi sema muda umeenda😹turudi room ?
Bifu langu na smart assist mpaka kiama😀Kaka tuendelee kujifunza ipo siku tutaanzisha ligi ya smart assist users vs Non users 😃😃