š¹inabidi ucheze na weweJamaa unakaba hadi penati š
Sawa sawaTano kamili tukiwashe
Ingependeza sana, ila nitakomaa tu ntakapoishia ndo hapohapo.Tatizo me mwezi huu nimebanana mno ningechukua Account nikuchezee
Nawaza ligi, niache šHivi Selikavu ile ratiba ya kubondana humu imeisha kisa ligi sio?
mana naona napata notification hapa ile siku ya Razorblade imefika ššView attachment 3434242
We kijana upo?Razorblade mkuu, kiongozi, mtaalamu, game limeundwa kwaajili yako uje uchukue pointi zako
Aina nomaIngependeza sana, ila nitakomaa tu ntakapoishia ndo hapohapo.
SepterTupande, nime sahqu username
Ingia onlineSepter
Nipo hapa mkuuAlexander Lukashenko upo wapi njoo uchukue point zako