😅😅jamaa uwa una jitetea sanaaNa ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.
😹 niliona ma picha picha asee😃😃😃Hicho kipind si Razorblade alikuwa ananionea😃😃 nikamwambia bro ngoja nitakuwashia siku moja ndo nikamuwwshia😃😃
Ila me sio fan wa smart assist kabisa
🤣🤣🤣Huwa sijui kutumia direction stick Vizuri na kudreble nikiwasha smart assist ni kutembea tuu😃😃😃😹 niliona ma picha picha asee
Ila jitahidi tu kufanyia kazi speed.Ila unaubonda mkuu mechi ya kwanza first half ulinisumbua hadi nilitaka ku forfeit 😂😂
Haina noma, fair play muhimu.Corrie de killer Good game mkuu thanks kwa kuwa muungwana mtandao wangu uliposumbua.
Game 1 : Draw
Game 2: Lukashenko wins
View attachment 3434427View attachment 3434428
😃😃😃Unavyotoa ushauri kama umeshinda vileIla jitahidi tu kufanyia kazi speed.
Nimeipenda hii...Haina noma, fair play muhimu.
Naongea kwa uchungu kaka simu zinaingia katikati ya mechi 😂Sema mwanangu unaongea mno🤣🤣🤣🫵
Mkuu yani we acha tu, mechi imekatika kwa sababu ya simu narudi tena room simu inapigwa kwenye namba nyingine 😂😃😃😃Unavyotoa ushauri kama umeshinda vile
Mamiyake🤣🤣🤣🫵
Sawa sawaIla jitahidi tu kufanyia kazi speed.
Heshima yako 🫡Haina noma, fair play muhimu.
Mimi kama Ahmed Ally nilikwambia 😂Hakuna cha fact wala nini mwanangu anaongea mno🤣🤣🤣
Kawaida yangu hiyo hatuchezi mabubu humu, nikiangalia wachezaji wengi siyo waongeaji bora mie niongee tu 😂😂😂😅😅jamaa uwa una jitetea sanaa
😂😂😂😂😂
Invite
Tupande leo imeniuma sana kuambulia alama 1 😂😂😂😂😂😂