Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.Razorblade heshima yako mkuu
Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.Razorblade heshima yako mkuu
Hizo ndege imenibidi maana wachezaji wako wapo kila sehemu 😂 pia siwezi kupiga pass sanaWarld upo slow mkuu, jitahidi kuongeza speed pia punguza hizo ndege kaka 😂
Mechi ya pili sikuwa na umakini mkuu nilikuwa naongea na simu na mpaka muda huu bado naongea na simu 😂
Tutakutana 😲...? Wee sio vita aagh.Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.
Mechi ya kwanza mpaka ilibidi nianze kucheza simple ili tuende sawa na mwisho wa siku ukafanikiwa kurudisha kwa uzembe wangu 😂Hizo ndege imenibidi maana wachezaji wako wapo kila sehemu 😂 pia siwezi kupiga pass sana
Tutakutana mkuu usijali 😂Tutakutana 😲...? Wee sio vita aagh.
Sema ningeweka mpira chini ungenifunga nyingi, mbinu ni kulazimisha ucheze nnavotaka.Mechi ya kwanza mpaka ilibidi nianze kucheza simple ili tuende sawa na mwisho wa siku ukafanikiwa kurudisha kwa uzembe wangu 😂
Ila unaubonda mkuu mechi ya kwanza first half ulinisumbua hadi nilitaka ku forfeit 😂😂Tutakutana mkuu usijali 😂
Na ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.Sema ningeweka mpira chini ungenifunga nyingi, mbinu ni kulazimisha ucheze nnavotaka.
Sema tutagusa friendly kesho ukiwa na mudaNa ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.
Anacheza vizuri ila yupo slow sana.😹hizi dharau sasa kwaiyo Warld bado ana kaba
😃😃😃Hicho kipind si Razorblade alikuwa ananionea😃😃 nikamwambia bro ngoja nitakuwashia siku moja ndo nikamuwwshia😃😃Kipindi kile uli nipiga na smart assist hadi ukaniomba radhi 😹
Matokeo??Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.
Nimeyaona chief
Anaongea fact.Sema mwanangu unaongea mno🤣🤣🤣🫵
Hakuna cha fact wala nini mwanangu anaongea mno🤣🤣🤣Anaongea fact.