eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hivi Selikavu ile ratiba ya kubondana humu imeisha kisa ligi sio?

mana naona napata notification hapa ile siku ya Razorblade imefika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Screenshot_20250806_214628_One UI Home.jpg
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....

Asante sana mkuu nimejifunza vingi sana kwako... Nimeokota ya muhimu mkuu... Asante.
Kikubwa ni umemfunga Gilberto kabla ya Razorblade na Drogba wake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom