Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,781
Atalia na kusaga menoššRazorblade hana chake hapaš
Atalia na kusaga menoššRazorblade hana chake hapaš
Kesha usije ukalia mbele hukoNafikiria free spin tu, mtanifanya nikeshe dvn nyie š
Ngoja nijaribu kukomaa nayo kabla ya update, niache kazi nifanye kazi šDivision 2 ishakuzoea fanya uhame aiseeš
Ingekuwa simu yenye game niko nayo muda wote huenda ningeingia sana huko, tatizo simu aisee šUtabaki wewe tuuš¤£š¤£š¤£
Ngoja nijaribu.Kesha usije ukalia mbele huko
Tatizo me mwezi huu nimebanana mno ningechukua Account nikuchezeeIngekuwa simu yenye game niko nayo muda wote huenda ningeingia sana huko, tatizo simu aisee š
Sawa mkuu naomba user name yako twendeGood tu mkuu..
Hata muda huu kama upo free twende tumalize kaka.
Duh hapo sijui tunafanyaje sijui nikupe code tu, mana mi kule nimejaza watu 50.. sijaanza kuchambua wa kupunguzaSawa mkuu naomba user name yako twende
Yes nipe code mkuu...hamna shida.Duh hapo sijui tunafanyaje sijui nikupe code tu, mana mi kule nimejaza watu 50.. sijaanza kuchambua wa kupunguza
Nakutumia code HapoSawa mkuu naomba user name yako twende
41852447Yes nipe code mkuu...hamna shida.
Nakuja41852447
š¹š¹ picha kutoka kwenye pitchKwahiyo Kandambili1 yupo anaumukaššš
Kakaš¤£š¤£š¤£š¹š¹ picha kutoka kwenye pitch View attachment 3434210
Kandambili sio mgeni wa games za mpira maana nilicheza nae wakat bado ana 2800 + nili struggle kumfunga ana cheza kama mtu anae jua ila kikosi kika muangusha š¹Kakaš¤£š¤£š¤£
Na nacheka kama mazuri ila Kandambili1 huko kapeleka moto
Gilberto ndo kaumukaš¤£š¤£š¤£š¤£