Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Na wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda 😂
Na wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda 😂
Tatizo hata wakimleta atakuwa RWF.Za 26 utajipanga kuipata alafu kuna tetesi wakamleta Lamine yamal
Nimecheza na profilic winger mbeumo SS anacheza vzr sanaUchawa kwenye coins zangu sitaki 😂
Siwezi tupa hizo coins kwenye ile pack, angekuwa RMF(Creative playmaker) ningepita nae ila ni RWF(Prolofic winger) hapana.
Kwa sasa nahitaji RMF na LMF pamoja na SS wa asili.
Haya hongera 😂Kanipeleka Division one kila game kafunga🤣🤣🤣
Siwezi choma coins 1800 kwa Lamine YamalTatizo hata wakimleta atakuwa RWF.
WivuHaya hongera 😂
Khalas.
Sifati OVR mimi, kwanza hakana nguvu kwenye kukaba pia hamna kazi halafu kumbuka natumia back 3.Nimecheza na profilic winger mbeumo SS anacheza vzr sana
But ni suggestions tuu 105 ile kijana🤣🤣🤣
Akiwa RMF(Creative playmaker) naweza choma, Creative playmaker kwenye kikosi changu wananafasi muhimu sana.Siwezi choma coins 1800 kwa Lamine Yamal
Huko dvn sijagusa kitambo sana yaani sina mzuka napo 😂
Kana balance na speed kakaSifati OVR mimi, kwanza hakana nguvu kwenye kukaba pia hamna kazi halafu kumbuka natumia back 3.
Yule ni Profilic winger au Roaming Flank hatoki hapoAkiwa RMF(Creative playmaker) naweza choma, Creative playmaker kwenye kikosi changu wananafasi muhimu sana.
Me nilikuwa nataka hii badgeHuko dvn sijagusa kitambo sana yaani sina mzuka napo 😂
Balance na speed vinakaba?Kana balance na speed kaka
Sasa SS kaka anakaba 😃😃😃AMF ndo anakaba SS Amna😃😃😃Balance na speed vinakaba?
🚮Yule ni Profilic winger au Roaming Flank hatoki hapo
Hongera.Me nilikuwa nataka hii badge
Basi njoo na hizo coin nikupe Leao😃😃😃Balance na speed vinakaba?
Shukran mkuu🔥Hongera.
Hakuna timu ambayo wachezaji wote watakuwa na role ya kukaba 😂Sasa SS kaka anakaba 😃😃😃AMF ndo anakaba SS Amna😃😃😃
Huyo kwangu thamani yake ni Selection Booster 😂Basi njoo na hizo coin nikupe Leao😃😃😃View attachment 3428111View attachment 3428112