Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Kafika 100 ?
Kafupi kwanza afu hakana nguvu kana faa wanao penda ku dribble 😹😹Hana maajabu.
😹😹hii sio haki ilibidi izo match za mwanzo ndio tucheze home and away uku juu ni dk 90 , extra time then penalty .Hongereni kwa kumaliza Playoffs
Matokeo ya playoffs ni kama hiviView attachment 3427707
Tunaingia nusu fainali sasa
Game ni mbili...
Dakika 10 condition excellent
Game ya kwanza Penalty off na Extra time off
Game ya pili Penalty On na extra time on
Mshindi ni yule ataongoza aggregate
Nadhan hata kama game ya pili mkiwa draw na game ya kwanza kuna mtu alishinda basi mnaweza mkaishia dakika 90 mkapiga picha matokeo mmoja akatoka
View attachment 3427712
Huku ndo ujitetee nusu fainali hii😃😃😃😹😹hii sio haki ilibidi izo match za mwanzo ndio tucheze home and away uku juu ni dk 90 , extra time then penalty .
Uchawa kwenye coins zangu sitaki 😂Mchukue messi au alishaondoka??
Naona ugonjwa wako umerudi, halafu umepata mwenye live booster 😂😂😂
Ewaaah! Huku nikiendelea kuzikusanya na hizi free coins za login.Zina subiri e football 2026 sio
Eti booster ikiwaka, ipige kibiriti 😂Hapana ..
Nadhan kocha
Ila booster ikiwaka atafika
Za 26 utajipanga kuipata alafu kuna tetesi wakamleta Lamine yamalEwaaah! Huku nikiendelea kuzikusanya na hizi free coins za login.
Kanipeleka Division one kila game kafunga🤣🤣🤣Naona ugonjwa wako umerudi, halafu umepata mwenye live booster 😂😂😂
Na wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda 😂Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambia🤣🤣🤣